Happening now at Kondo Bahari Beach: Marehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo

Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na serikali

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask
IGP kapewa Rungu lakini
 
Sina mashaka na taarifa yako Ila nina swali moja la msingi... Huyo ndugu yako alikuwa na maradhi mengine tofauti na Corona?

Nataka nijue Kama hili gonjwa linaweza kumng'oa mtu hata Kama Hana magonjwa mengine
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na serikali

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask
Ndio wapi huko kondo bahari beach?
Mimi juzi ndugu yangu tumenyimwa maiti tukaambiwa atazikwa na serikali katika makaburi ya Ununio.

Korona inaua sana jamani.
Cha kushangaza...idadi bado ni 10 tu. Acha tuzidi kujikinga jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikiwa mojawapo ya mfiwa tumetokea hospital ya Amana tumeambiwa mwili wetu utakuja makaburi ya kondo bahari.beach tutangulie maaana marehemu wetu atazikwa na serikali

Sasa tumefika kondo tumekuta familia tofauti.tofauti zinasubiri marehemu wao, hizi hawa ndugu wana majeneza yakuweka ndugu zao

Aisee, huu ugojwa unaua tujikinge na tuzidi kuomba

NB: kama unapita mitaa yaya kondo bahari beach jikinge vaa mask
Picha umeziacha ufipa?
 
Back
Top Bottom