Hapoooo vipi!?

Hapoooo vipi!?

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Wanyama pori walikua darasani, mwalimu akauliza, "nani mwenye masikio makubwa?", Simba akacheka sana kisha akajibu, "punda", wanyama wote wakamcheka punda, mwalimu akauliza tena, "nani mwenye 'ombo' kubwa"?, wanyama wote kimya, Punda akageuka kwa simba akamwambia, "jibu tena sasa khanithi mkubwa wee"!, "ubabe mwingi 'okibo' kidogo"!
 
Hahahahaha hii poa sana, ndonga la punda ni noma.nukta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom