Haponi mtu kwa style hii...

Kwani jacquiline hakuwa ametulia kabla hajaolewa na Dkt. Machache?
 
anaitwa Emmy Daniel mzazi anajua mwanae yuko moro anasoma kumbe anasomea mambo ya instagram
 
HV ndy Leo kanunua smartphone maana kila social network Leo ni yeye tu au ndy anatafuta kick ya video Queen
 
Mi nina video yake asee, huyo mpiga picha alipata tabu sana maana alikuwa anauliza maswali ya hovyo hovyo tu.

Hapa kama una mkeo na kakufuma na haka katoto aamini nakwambia atakusamehe maana atajua ulizidiwa (simaanishi nikisemacho)
 
Nipo mbali sana na watoto weupe...mi napenda black
Wa kawaida sana huyo
 
Hilo ni kosa kubwa sana. Utamfahamuje na kumpost humu halafu huna namba? Ushanikera[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Humu watu mnavituko sana.
 
Alikimbizwa na mama yake toka Arusha maana alitaka kubakwa na baba yake wa kambo
Atakuwa alikuwa anamtegatega baba watu si bure uzalendo ukamshinda.
Kama ndo kwa style hiyo baba wa watu aliingia mkenge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…