Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
-
- #101
Ukimuweka ndani unambadili tabia maisha yanasongaMzazi kazaa mtoto yupo moro sec.
Mzazi anatuma pesa ya matumizi daily. Hatari sana.. Ndio ukimvuta ndani utazaa watoto wakije wakali wenye tabia za mama yao?? Swali tu
Huwezi kumbadilisha mwanamke tabia kama huna hela, sahau hilo Shekhe wangu!Ukimuweka ndani unambadili tabia maisha yanasonga
Wadudu wamo piaDaaah anaonekana mtamu sana
Kwani hujaona video yake humu jf akibinjuka ktk hizo nyasi??Photoshop zinawaharibu akili. Wewe tazama hizo picha zenye majani halafu useme kuna majani gani yenye kijani hicho ndipo uangalie rangi ya huyo binti na sura yake.
Face book hizi na na youtube. Unaniambia hayo mapoz kazaliwa nayo ama anawaiga kina wema sepetuWadada wa mikoani na wao wameharibika sasa
Hao wenye hela mbona wanachapiwa??Ni mentality tu tumejiwekea ss wanaume. Hela sio kila kitu.Huwezi kumbadilisha mwanamke tabia kama huna hela, sahau hilo Shekhe wangu!
Mkuu hizo picha nimezitoa kwenye video..Ndo palivyo hapo.Photoshop zinawaharibu akili. Wewe tazama hizo picha zenye majani halafu useme kuna majani gani yenye kijani hicho ndipo uangalie rangi ya huyo binti na sura yake.
Kwani video hazichakachuliki? Wewe tazama rangi ya hizo nyasi tu utaona kwamba hakuna nyasi zenye rangi hizo.Kwani hujaona video yake humu jf akibinjuka ktk hizo nyasi??
Utandawazi huo mkuu...Wadada wa mikoani na wao wameharibika sasa
Ndo nyasi zake hizo mdau..Hiyo ni bongo land.Kwani video hazichakachuliki? Wewe tazama rangi ya hizo nyasi tu utaona kwamba hakuna nyasi zenye rangi hizo.
angalia mandhari ya nyumba, jinsi ilivyo na nyasi unazotaka wewe ziwepo, vinaendana??Kwani video hazichakachuliki? Wewe tazama rangi ya hizo nyasi tu utaona kwamba hakuna nyasi zenye rangi hizo.
Endelea kuwaza hivyo hivyo Shekhe wangu kwa kuwa hulipii VAT,Hao wenye hela mbona wanachapiwa??Ni mentality tu tumejiwekea ss wanaume. Hela sio kila kitu.