Wadanganyika1:3" ndipooo mtukufu mfalme akararua joho lake na kumwuliza mwanae mpendwa , akisema mwanangu mkoromije ni nan atakaye kutikisa ufalme wangu , ndipo mtoto wa mtukufu akajibu ni yule Kobe anayekemea nguzo za umeme baba , ila usiwaze nshatuma Nissan mbili za kijan kuiba roho yake.ndipo roho ya mtukufu ikasuuzika na kumpa mwanae zawad kedekede"