Hapo Zamani Nchini Marekani.

Hapo Zamani Nchini Marekani.

Nubian Ancient

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
958
Reaction score
1,182
Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni.
#History Is Great#
photo5348480511686846806.jpg
 
The land of the free and the home of the brave! Huu ndo msemo wa wamarekani!
 
Back
Top Bottom