C Chodo Member Apr 17, 2010 5 1 Feb 23, 2011 #1 Waungwana kwa hili mnasimaje ndo maisha bora kwa watanzania yanakuja kiivi Attachments clip_image001.jpg 53 KB · Views: 482
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 Feb 23, 2011 #2 Chodo said: Waungwana kwa hili mnasimaje ndo maisha bora kwa watanzania yanakuja kiivi Click to expand... Ha ha! ha! ha! hiyo kali,ila angalia usije kamatwa maana watasema umemkashifu rais aliyeko madarakani na aliyestaafu.
Chodo said: Waungwana kwa hili mnasimaje ndo maisha bora kwa watanzania yanakuja kiivi Click to expand... Ha ha! ha! ha! hiyo kali,ila angalia usije kamatwa maana watasema umemkashifu rais aliyeko madarakani na aliyestaafu.
G geophysics JF-Expert Member Nov 1, 2010 904 166 Feb 23, 2011 #3 Ipo siku nyingi humu JF... Hakikisha unapoweka picha unachunguza.....chanzo chake..usije ukawa nakili thread za watu na kupachika
Ipo siku nyingi humu JF... Hakikisha unapoweka picha unachunguza.....chanzo chake..usije ukawa nakili thread za watu na kupachika
P Pomole JF-Expert Member Jan 31, 2011 257 7 Feb 23, 2011 #7 Mmmh!!!watu wanachakachua hadi picha aisee...
Seto JF-Expert Member Jan 15, 2011 953 53 Feb 23, 2011 #8 el toro said: Click to expand... hebu mtazame kwanza ,,,, kaka jambadhi hilooooooo!
Susy JF-Expert Member Feb 5, 2011 1,431 221 Feb 24, 2011 #9 hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani mieeeeeeeee mbavu zangu!!