Prince M Mwakyusa JF-Expert Member Jul 2, 2015 374 184 Feb 10, 2016 #2 sasa hyoo kamera ndo kaifanyaa bunduki ...???
dansmith JF-Expert Member Dec 21, 2013 2,305 2,094 Feb 10, 2016 #3 Angekuwa mdosi hapo kashaliwa nyama siku nyingi
Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,172 15,725 Feb 10, 2016 #4 Hahahahaha hapo lazima jicho likutoke kama mjusi aliebanwa na mlango,muone huyo jamaa.
Dragoon JF-Expert Member Nov 24, 2013 7,012 8,136 Feb 10, 2016 #5 Kupiga picha anataka, na uoga umemtawala
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Feb 10, 2016 #6 Hawa huwa hawadhuru wapo kiutalii zaidi