Hapo sasa jitie kitanzi mwenyewe ....

Hapo sasa jitie kitanzi mwenyewe ....

Joined
Aug 30, 2014
Posts
14
Reaction score
32
Hizi sms zinajibiwaje maproo tusaidieni ...
IMG_20190608_233528_737.jpeg
 
Mtoto wa kiume usiogope majukumu;ukitaka mpenzi wako akuite baba,mtatulie changamoto zake.
 
Hapana nambie Kesho.....


Kesho ikifika: Baby nikwambie kitu.....


Hapana ungenambia jana.
 
Ha ha ha mi nikimwambia hivi mh man ujue nataka nikupe story ucheke tu...kama atadhani ni kizinga kinakuja amechemka..ha ha ha
 
Utaniambia baadae sahivi siko sawa. Changamoto inakuja pale kweny inbox yako unakuta messages kama zifuatazo

INBOX
Janet :beby nikwambie kitu..
Asha:Baby nlkuwa nina shida..
Annet:my si unajua sikuku zinakaribia
Lina:baby sijisikii vizur nahisi naumwa..
Wife : nakupigia upokei unga na Michele umeisha ndani..
 
wana stahili moja siku hizi ya kuomba.kama hupo mbali naye.hakitaka kitu basi anaumwa hapo ujue ,jiandae ...
Hizi ”h” mbona wote kama mmesoma shule moja? Kweli bibi fox ni halali yake lile tusi lake. Hupo=upo. Hakitaka= akitaka
 
Huwa siziogopi hizi sms hata kidogo kwa sababu najua kinachoenda kutokea.

Ila huwa napenda zaidi nikisikia
"Baby nina shida ila nakuja tutaongea huko huko ".
Hapa tatizo lazima litatuliwe kwa 80%.
 
Back
Top Bottom