Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,946
- Thread starter
-
- #61
Mkuu grafani11 itakuwa sio Rahisi kuingia chumbani kwangu mlango wangu huwezi kufunguwa mpaka uwe na Kadi maalumu ya kufunguwa mlango unatumia Kadi sio ufunguo.Mheshimiwa, akitokea mtoto wa kiume wa jirani yako akaingia humo chumbani halafu kwa bahati mbaya akashindwa kufungua mlango wako wa kisasa na kulazimika kukojolea ukuta wako utafanyaje?
MziziMkavu leo umeniacha kwenye mataaBibie FirstLady1 Unakaribishwa kwa Raha zako karibu bibie wewe ni FirstLady1 kwanini usikaribishwe.
watoto wetu wana kazi sana ya kujifunza sasa.
Nimekuuliza kama siku hizi Mkuu umekuwa mwanasiasa kutokana na jinsi ulivyojibu hapa!!mkuu Soki Zingine nimezificha mkuu huwezi kuziona ukisha ziona silaha zangu hutaniogopa silaha nzuri ni ile isiyo onekana.
Kukujibu kuwa mimi nina Silaha za siri haina maana ya kuwa mimi ni Mwana Siasa Silaha zangu za Siri niNimekuuliza kama siku hizi Mkuu umekuwa mwanasiasa kutokana na jinsi ulivyojibu hapa!!
Chumbani kwangu hapo munasemaje wabongo???????????????
Mbona sioni mizizi mikavu bana? lol! umeificha wapi...na zile kwato za punda, ngamia, tembo n.k.? Poa lakini pametulia...ukiingia unapata amani ndani ya roho.
Dahhhh sjui nichague kipi.???
Nawasalimu bandugu. ...
Rubani ni aje bana!? Mbona huonekani? Kujichimbia gani huko bana? Nimekutafuta kila kona HOLAAA! duh! Au ndio katika kukamilisha malengo ya mwakani? Haya kama ndio malengo basi kila la heri...Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Chagua vyote LoL!
Hahahahahaha
Captain fujo hizo. Mie zote zitanishinda nguvu.
Ahhh ntachagua yenye Woodrow kubwa si wajua tena sector ya mavazi ilivyo Muhimu. :$
Anyway kuna mambo makubwa mawili yamejitokeza. Kesho tukutane basi maeneo
Nikupe story ... sehemu ile ile saa zile zile.
Ntakusubiri ..Take care for now. π
Haya angalia ipi ina nafasi ya kutosha kuweka vidudu vyako LoL! ππ nitakuwepo bila kukosa Rubani. Inaelekea hayo ni mambo makubwa kweli hadi yamesababisha usipatikane mtaani kama kawaida yako. Have a great weekend.