Acheni ushamba bana, kama kazi yako inakutaka kuvaa masuti, tai navitu kama hizo ndio unaona urijali, kimpango wako
Huyu ni msanii Sharobaro yupo kazini kama wewe unapokuwa kazini na ana make chapaa kama kawa
Hapo kwenye kiji baa flani hivi ambacho kwa hapa kwetu huwa vinaitwa mwafrika baa. Yaani mwendo ni komoni mbege dadii nk. Akirudi bongo sasa!utaskia mashauzi yake ooh mara kafunika uk ile mbayaa. Waapi