trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Jan 22, 2012 #1 Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa Watu wa China.. Wachina sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakirudi kwao kusheherekea tukio hilo kubwa sana kwao. Sasa nauliza kwa wale mlio nao hapo Mitaa ya Swahili,na mingine ya Kariakoo,vipi wamepungua?
Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa Watu wa China.. Wachina sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakirudi kwao kusheherekea tukio hilo kubwa sana kwao. Sasa nauliza kwa wale mlio nao hapo Mitaa ya Swahili,na mingine ya Kariakoo,vipi wamepungua?
trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Jan 22, 2012 Thread starter #2 Au pale Mwenge,nadhani kuna mmoja ama wawili,vipi..
Wa kusoma JF-Expert Member Jul 30, 2011 3,454 2,975 Jan 22, 2012 #3 Umekurupuka wewe bila shaka hujaswaki wewe. Sisi wachina wanatuhusu nn? Si uende nao kama unawapenda? Maspy bwana utawaona tu.
Umekurupuka wewe bila shaka hujaswaki wewe. Sisi wachina wanatuhusu nn? Si uende nao kama unawapenda? Maspy bwana utawaona tu.
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Jan 22, 2012 #4 Wapo wamejaa tele wanakomaa wanasheherekea hapa hapa DSM
J Jeho JF-Expert Member Jul 2, 2011 5,053 5,504 Jan 22, 2012 #5 Wamejaa kama pishi la mchele linavyojaa ndani ya sufuria.
matumbo JF-Expert Member Jul 9, 2011 7,225 3,944 Jan 22, 2012 #7 Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka.
Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka.
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,661 13,487 Jan 22, 2012 #8 matumbo said: Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka. Click to expand... Wataenda wapi?hata nauli sidhani kama wanayo!
matumbo said: Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka. Click to expand... Wataenda wapi?hata nauli sidhani kama wanayo!
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 Jan 22, 2012 #9 matumbo said: Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka. Click to expand... hahahahahaha duuh
matumbo said: Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka. Click to expand... hahahahahaha duuh
Ziltan JF-Expert Member Aug 20, 2011 2,649 6,832 Jan 22, 2012 #10 Zamaulid said: Wataenda wapi?hata nauli sidhani kama wanayo! Click to expand... acha utani na shemejio/wifi yako a/c yake iko full mayeni
Zamaulid said: Wataenda wapi?hata nauli sidhani kama wanayo! Click to expand... acha utani na shemejio/wifi yako a/c yake iko full mayeni