Hapendi kutoa

Mwambie tu kile unachokipenda , tena umwambie vile unavijiskia ukipata zawadi.Ukweli utakuweka huru.
 
Zawadi pekee kwenu nyie warembo ni dushe na ni ya asili,hizo nyingine waachieni wenyewe wakoloni.
 
Price, kwa kuwa umeielezea kifupi mno sidhani kama umesema yote kumhusu m-dochivelle wako!

Hata hivyo, anatakiwa akupe zawadi kama nani? Najaribu kuwaza kama yeye tu. I think aliwahi kufanya hili at least once or twice, lakini bado unamweka kwenye friend zone ilhali yeye anataka zaidi ya hapo. So anachofanya sasa hivi ni ku-weigh his options. Ni ngumu sana kuinvest mahali ambapo huyu returns zake zitakuwaje yani! Give him the benefit of doubt...say yes to him, and see if you won't get all that and more!

Najaribu tu kuwaza kama mimi...tumefahamiana..as friends..nimekueleza interest yangu kwako..unanieka pending..nikikupa zawadi..won't you feel kama naku-bribe vile ili tu unikubali?

Mwisho kuna suala la kuwa 'suficiently philanthropic' ...kuna watu hutoa tu zawadi kwa watu regardless. Awe na kingi...awe na kidogo! Ana mahusiano na wewe ya miaka au amekujua leo..they are just wired that way! Hawa ni rare kuwapata.

Choice yako;

1. Say yes to him

2. Wait for the philanthropic type muache mdachi wa watu ajiendee.
 
Last edited by a moderator:

Thank you.... umenifungua akili,inaweza pia ikawa cause
 

Haaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…