Hapatoshi.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(JAMAA#1):Rafiki yangu,hivi kwanini unapenda kutembea na wanawake ambao sio wa hadhi yako?huoni kama unajidhalilisha? (JAMAA#2):Ina maana hata mkeo sio wa hadhi yangu?
 
(BABA):We mtoto mjinga sana,ole wako ukose na hili swali,haya>kama panya mkubwa anaitwa PANYA BUKU,panya mdogo ataitwaje? (MTOTO)😛ANYA JERO!
 
Hapo unamaanisha nini sasa. Upupu.
 
(JAMAA#1):Rafiki yangu,hivi kwanini unapenda kutembea na wanawake ambao sio wa hadhi yako?huoni kama unajidhalilisha? (JAMAA#2):Ina maana hata mkeo sio wa hadhi yangu?
sipati picha ya kilicho endelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…