Hapati hedhi, ni ugonjwa gani huu?

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
57
Kuna binti wa kazi nimeletewa kutoka kijijini, ana miaka 22 hajavunja ungo, pia hakui sawa na umri wake, anaonekana kama ana miaka 12! ana tatizo gani? linatibika?
 
Mpeleke kwa Gynaecologist (Daktari wa magonjwa ya wanawake) atapatiwa ufumbuzi!
Wantampima level za certain sex hormones(eastrogens,progesterone etc) na wanaweza kumpatia suppliments kama wataona kuna upungufu huo!
 
inavyo onekana kutokana na maelezo yako huyo msichana tatizo lake kubwa ni kwamba hakuhi tena yaani hapo ndio keshafikia mwisho, kwa hiyo hapo tatizo kubwa sio kupata hedhi bali ni kuwa japo ana miaka 22, lakini mind yake na mwili wake bado huko kwenye utoto, madaktari wataelezea vizuri sana hili
 
Duh au ndio heterosexual (sina hakika na spelling). Yaani kama Semenya?
 
sasa na wewe atapataje hedhi wakati hajavunja ungo?

kamuone mtaalam wa masuala ya hormones na ukuaji sio gynaecologist
 
Ulijuaje haya?
mpeleke hospitali kwa uchunguzi zaidi.

Alipoletwa nilitaka kumkataa nilidhani katoto, nikaambiwa umri wake na tatizo lake, mdogo wake ameshazaa!

Asante kwa ushauri
 
sasa na wewe atapataje hedhi wakati hajavunja ungo?

kamuone mtaalam wa masuala ya hormones na ukuaji sio gynaecologist

Pole kwa confusion na asante kwa ushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom