Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,887 Reaction score 141,518 Aug 7, 2009 #1 Mimi navitwa Floribert Njabu. Natoka jimbo ya Kisangani. Nakaripishwa sana hapa.
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Aug 7, 2009 #2 lol majinazzzz mengiiiizii.....ur welkom njabu
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 574 Aug 8, 2009 #3 Floribert Njabu said: Mimi navitwa Floribert Njabu. Natoka jimbo ya Kisangani. Nakaripishwa sana hapa. Click to expand... Karibu sana jamvini. Ila kama hujui lugha ya kiswahili ni vizuri kuongea lugha yeyote unayojua kwa ufasaha.
Floribert Njabu said: Mimi navitwa Floribert Njabu. Natoka jimbo ya Kisangani. Nakaripishwa sana hapa. Click to expand... Karibu sana jamvini. Ila kama hujui lugha ya kiswahili ni vizuri kuongea lugha yeyote unayojua kwa ufasaha.
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,824 Aug 8, 2009 #4 Floribert Njabu said: Mimi navitwa Floribert Njabu. Natoka jimbo ya Kisangani. Nakaripishwa sana hapa. Click to expand... Karipu zana chamfini pwana Floribert Njabu...Mimi navitwa Balantanda,nakukaripisha sana Mukulu
Floribert Njabu said: Mimi navitwa Floribert Njabu. Natoka jimbo ya Kisangani. Nakaripishwa sana hapa. Click to expand... Karipu zana chamfini pwana Floribert Njabu...Mimi navitwa Balantanda,nakukaripisha sana Mukulu
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,081 Reaction score 27,164 Aug 14, 2009 #5 Yo Yo said: lol majinazzzz mengiiiizii.....ur welkom njabu Click to expand... Wala hakuna haja ya kumkaribisha huyu, kwani yupo humu kitambo tu! nimeona amevisit profile page yangu, sijui alikuwa anatafuta nini pale!!
Yo Yo said: lol majinazzzz mengiiiizii.....ur welkom njabu Click to expand... Wala hakuna haja ya kumkaribisha huyu, kwani yupo humu kitambo tu! nimeona amevisit profile page yangu, sijui alikuwa anatafuta nini pale!!
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 189 Aug 14, 2009 #6 Pretty said: Karibu sana jamvini. Ila kama hujui lugha ya kiswahili ni vizuri kuongea lugha yeyote unayojua kwa ufasaha. Click to expand... Nawe tena, aongee Kilingala hapa mtamuelewa nyie.....mkaribisheni atajifunza kiswahili as time goes on!
Pretty said: Karibu sana jamvini. Ila kama hujui lugha ya kiswahili ni vizuri kuongea lugha yeyote unayojua kwa ufasaha. Click to expand... Nawe tena, aongee Kilingala hapa mtamuelewa nyie.....mkaribisheni atajifunza kiswahili as time goes on!