Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
.NAOMBENI mawazo jamani hapa nilipo nimelala sijielewi.
kaka unasema kweli?maana hatutofautiani hata kidogoMh.... yani nilishawahi kukumbwa na case ambayo may be inafanana na hii may be 80%!!!
Bint kakosea namba - wa Tabora, - kaniganda - tukaanza mawasiliano - alikuwa na sauti nzuri ajabu...
Ila sikumbuki kama nilikuwa na wet dreams ama kuumwa mbavu ila nakumbuka nilikuwa napewaga pole. Sikumbuki coz ilikuwa around 2008, 2009. Na ndio historia ya jina "Tuko"...
Mh... ngashtuka...
hahaha. Nokia83,ndo kawaida yangu mkuu si unajua mambo ya night unaweza ukavamiwa mda wowote mda wa kutafuta silaha ww utatafuta boxa alafu utaona balaa lake
sawa mkuu nimezielewa vizuriMuulize anaishi Tabora sehemu gani,sifa za mademu wa Tabora pale mjini ni kama zifuatazo kwa mitaa...
Mwanza-road,Chemchem,Kiloleni,Ng'ambo,kanyenye,Gongoni,Isevya,Masagala,Bomba Mzinga na Rufita...hawa wengi wao wana tabia mbaya,walevi wa pombe za kienyeji,wanaamini ushirikina zaidi ya imani za dini,wanaweza kukuloga kwasababu umewakataa,limbwata ni urithi toka kwa mama zao,ukimzalisha unageuka kuwa muhudumu wa familia na ukoo mzima,ukiwaoa unaingia kwenye hatari ya kuwa mcheza bao na kushinda kwenye kahawa siku nzima,hawapendi shule,hushirikiana na mama zao kuroga,wengi hutafuta kupewa mimba ili kujinusuru na kusoma,wana muonekano mzuri(wanavuti sanaaa) n.k
Cheyo,airport(mtaa),Majengo,national housing(mtaa),bomani(mtaa),Mwinyi(mtaa)...hawa wengi wao hujifanya mambo safi,lakini wanahongeka kati ya sh.500-5000,wanapenda uzungu,ni washirikina wa chini-chini,wanapenda mapenzi ya mbali,huwa na mabwana wengi,hawapendi kushikamana kwa muda mrefu,wengi wao hawavutii kwa uzuri wa nje n.k
NB:hizo ni sifa za wengi,wapo wachache walio tofauti na vizuri pia.
Mkuu unajua sana kutumia fursa. Baadae wataanza uchawi kumbe ni mbinu za kuweza kujitangazablack more
shiling 10000 kwa
pea serfin more
shiling 10000 kwa pea
orange more shiling 10000
kwa pea
gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea
gold fish
shilingi10000 kwa pea.
na aina nyingine nyingi Mawasiliano 0712505049
picha utaziona whats app
maana nipo katika hatua za
mwisho kufungua website