Hapa Zari anamaanisha nini?

Hapa Zari anamaanisha nini?

Akue nae huyu.. kuyaleta huku kwenye soshomidia hakumsaidii chochote zaidi binadamu sie tutamsengenya tu.. Nampenda Zari tho...

But about Diamond, is past eats the future!!????
 
Sio anaongelea hizi mvua zinazoendelea?
Umenichekesha, umenikumbusha mkalimani wakati wa kocha Maximo, alimwambia mchezaji kupitia mkalimani na mambo yakawa hivi:
"you dribble the ball" Maximo
"Eti anamuulizia ndimbo" Mkalimani
"Eh, Ndimbo wa miaka gani mbona alishaacha kucheza kitambo" Mchezaji
 
Umenichekesha, umenikumbusha mkalimani wakati wa kocha Maximo, alimwambia mchezaji kupitia mkalimani na mambo yakawa hivi:
"you dribble the ball" Maximo
"Eti anamuulizia ndimbo" Mkalimani
"Eh, Ndimbo wa miaka gani mbona alishaacha kucheza kitambo" Mchezaji
Heheh!!

Kaazi kweli kweli na lugha za watu hizi ni mtihani
 
She once loved that dummy.. That dummy is the father of her children... I think she is the one who should think twice before posting.

Ama akamripoti kwa Makonda
Kwa hiyo ana tu - dummy tudogo pale hme kwake ...
vingereza hv mweee ...
 
Dah ... nadhani anatafuta meneja wa Bima kwa ajili ya watoto ili wasisahausahau kama sijakosea
 
Kuna upuuzi Dai ameupost umemuumiza bidada na anawashangaa mameneja wake kuuruhusu huo upuuzi upostiwe kwenye public.
Anasema watoto wameshaanza kumsahau baba yao kwani hajawaona muda.
hivi kuna ule upuuzi mwingine ulipostiwa kule kwenye msiba wa Don wa Uganda... ule hakuuandikia ktk social media...

hawa wanajua wanacho kifanya, uzuri ni watu wazima hivyo haisumbui... waendelee tu... wautupe hadi wasafi tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom