Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
- Thread starter
-
- #41
Hahahahah A bossLady should be a woman of her words...unless she's just an affiliated bossWhat I think is like she expected some kind of coaxing from the Tandale boy,but obviously it turned out to be different. We have to understand women.
And do u take her bossiness serious!!it's just a nick.Hahahahah A bossLady should be a woman of her words...unless she's just an affiliated boss
Just like that superwoman of us who attended the mission at Ilala boma.Hahahahah A bossLady should be a woman of her words...unless she's just an affiliated boss
Hakujua ana zaa na kijana mtoto????akili bado hazijakomaaView attachment 745524
Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz ambaye ni mama wa watoto wawili wa msanii huyo, Zari The Boss Lady ameshindwa kuficha hasira zake na kumshambulia kwa matusi mtandaoni.
Mashambulizi ya Zari aliyoyatoa kupitia snapchat, muda mfupi kabla hajaelekea kanisani yalionekana yakihusishwa na ujumbe ambao Diamond aliuandika kwenye Instagram kuhusu wanawake akipigia debe tukio linalofywa leo na Zamaradi Mketema.
“Ikiwa Mama yangu alinilea Pekee hadi kufika hapa…Naamini Mwanamke ni Kiongozi bora Mwenye kuweza kuleta Maendeleo na Furaha ya Kweli Ulimwenguni….Please Tag wanake wote Wapambanaji na Wapenda Maendeleo waambie @zamaradimketemaKawaandalia jambo Kesho [leo],” aliandika Diamond.
Dakika chache baadaye, Zari aliweka ujumbe wake uliojaa hasira akitumia maneno makali na kumuita Diamond ‘mjinga’. Ingawa hakumtaja jina, kitendo cha kumkosoa kwa kushindwa kuwaona watoto wake kwa muda mrefu kinaonesha kuwa anayezungumziwa ni baba Tifah.
Baadaye, Zari aliweka picha inayomuonesha akiwa mbele ya kioo na nguo nyingi na kuandika ujumbe kuwa ni muda wa kanisani.
“Some manages need to do quality assurance before their artist alter nonsense for public whatever… when last did you see your kids I believe they forgot all about you dummy… Think before you caption. Idiot. Mxuiiii,” aliandika.
Kwa tafsiri isiyo rasmi, “Mameneja wengine wanapaswa kuhakikisha ubora kabla wasanii wao hawajaweka upuuzi kwenye mitandao ya kijamii kwa kupata kiki kivyovyote… hivi ni lini mara ya mwisho umewaona wanao.. Nina amini wamesahau yote kuhusu wewe mpuuzi…. fikiria kabla ya kuandika kwenye picha. Mjinga.”
Zari alitangaza kuachana na Diamond, akaiachia rasmi funguo za ikulu ya WCB ya Madale na kuhamia nchini Afrika Kusini.
Me i don' buy that shit....a true boss get money from a fuckin startAnd do u take her bossiness serious!!it's just a nick.
Mjinga nani sasa aliyezaa na mtoto au aliyezalisha?Hakujua ana zaa na kijana mtoto????akili bado hazijakomaa
Well saidHuwa inaniwia vigumu ku_judge maisha ya couple kama hizi, kwa sababu sijui wamepitia mambo gani.
Lakini kama umeshaachana na mtu, hii kuchunguliana kwenye social networks kuona ex wako ka_post nini inakuhusu nini tena?
Na kama umeamua kulea watoto si ulee tu! vinginevyo nenda kimya kimya kawasilishe malalamiko yako ustawi wa jamii juu ya kutelekezwa kwa watoto.
[emoji23] [emoji23]we amiss kwa sauti Afrika yote hamna wanaume, njoo muone Makonda zari...
Angalia ID yakeSio Insurance na wewe.
Acha tu Mkuu wangu,Mwanamke ukimuacha na umezaa naye ni shida tupu, hapo watoto hata uwajali vipi atasema huwajali ili mradi amepata pa kusemea. Hii inanitokea hata mimi na mzazi mwenzangu
Yes hasira za kumuacha MTU then hana time nawe,ila waliozaa hawaachani awe mpole ndo madhara ya kuzaa na watotoinaonesha kamkumbuka dai?
an i-diot can only fnck and have kids with a fellow i-diot!View attachment 745524