Kwani we hutaki pesa? You said " sijawahi kutaka chochote kutoka kwani in terms of cash" kana kwamba angeku-offer something na ungempa anything.[/QUOTE
My point is, iam not after his money but rather his heart, ingekuwa nimetanguliza mizinga ningeelewa kuwa anataka malipo