Hapa wanajadiliana nini?

Hapa kila mmoja anajiuliza, "Vipi, na wewe pressure ya maandamano na watu kudai katiba mpya kwako imeanza?"
 
Wanajadili jinsi ya kupokezana vijiti 'uenyekiti wa AU'
 
Mkulu amekula mlato(kiatu) wa kijani au macho yangu mabovu? Duh atakuwa manazi wa CCM vibaya sana
 
Alafu kwanini Marafiki wa Mkwere ni hao hao akina Gabgo, Gadafi, Mubarak?? why?
 
Kumbe ndiyo maana yuko kimya..
kule kwa mchakachuaji mwenzie gabgo aliteta nini? sijawasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…