View attachment 15496
Hii sijaielewa hebu anofahamu anifahamanishe nami nielewe ni nini hiki? Nilipoikuta ilikuwa imeandikwa "ubwabwa"
View attachment 15496
Hii sijaielewa hebu anofahamu anifahamanishe nami nielewe ni nini hiki? Nilipoikuta ilikuwa imeandikwa "ubwabwa"
heri yako thread hii bado inapumua mie nilipost ngoma ikaliwa juu kwa juu anyways pataeni picha ya weekend hapa chini
Hujaelewa nini mkuu? boflo hiyo.
View attachment 15523
Ni kazi ngumu sana kuwa mzazi.
wote tu ni balaa hakuna nafuu.Hasa ukipata mtoto wa kiume
wote tu ni balaa hakuna nafuu.
Hasa ukipata mtoto wa kiume
View attachment 15496
hii sijaielewa hebu anofahamu anifahamanishe nami nielewe ni nini hiki? Nilipoikuta ilikuwa imeandikwa "ubwabwa"
Mkuu hapo ni kuomba mungu tu watoto wakue salama na dunia hii isiwazuzue,maana siku hizi kuwa na watoto ni kama mtu umebebeshwa furushi la kinyesi kichwani,utatembea njia nzima ukiomba lisikupasukie mpaka utakapolifikisha.Na ukilifikisha(kumkabidhi mtoto mji wake)salama unashukuru mungu.
Hapo kwenye red maana yake nini.kesha chanwa marinda huyo!
Hapo kwenye red maana yake nini.