Hapa Vipi?

Hapa Vipi?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Mwenye nayo amuongezee kidogo........anasubiri matokeo zaidi Kenya na wamesema huenda yakakamilika Kesho
8.jpg
 
Bila shaka yuko kwenye research kuona jinsi vinywaji vya kampuni yake vinavyotoka sokoni huku pia akimsubiri mwaraha wake site.
 
Hizi 60% za ufaulu wa O-Level nina uhakika zitahamia Alevel wewe nisubiri hapo ulipo si matokea ni mwezi ujao

kuna maoni ipandishwe badala ya Div 0 waite Div. 5
 
Back
Top Bottom