Hapa vipi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli utoto rahaa....yaan unadanganywa huku unaona
Ushahidi wa picha umedhihilisha tulilishwa matango pori utotoni
 
Tatzo wale ndio benchi la ufundi wenyeweee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi kale kazee kwangu nakaona kachawi tu ningekuwa na uwezo ningekaburuta bararani na kukatupa mto Msimbazi
Nahisi kanatumwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mi kale kazee kwangu nakaona kachawi tu ningekuwa na uwezo ningekaburuta bararani na kukatupa mto Msimbazi
Nahisi kanatumwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukikatupa mto msimbaz kataliwa na simbaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…