TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 643 Reaction score 203 May 9, 2012 #1 Mtaani kuna ubishi kuhusu hii kozi ya GEOLOGY kwamba EGM hawezi kuisomea ni PCM tu embu funguka baadhi wanadai EGM anaweza wengine wanakata embu ni fumbue ni vigezo gani vinatumika hapo?, karibu
Mtaani kuna ubishi kuhusu hii kozi ya GEOLOGY kwamba EGM hawezi kuisomea ni PCM tu embu funguka baadhi wanadai EGM anaweza wengine wanakata embu ni fumbue ni vigezo gani vinatumika hapo?, karibu
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,334 Reaction score 16,788 May 9, 2012 #2 EGM inakuwa wasiwasi kidogo,kama unabackground ya chemistry unaweza fanya ila kama hiyo kemia haipo itakula kwako!
EGM inakuwa wasiwasi kidogo,kama unabackground ya chemistry unaweza fanya ila kama hiyo kemia haipo itakula kwako!
TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 643 Reaction score 203 May 9, 2012 Thread starter #3 Zamaulid said: EGM inakuwa wasiwasi kidogo,kama unabackground ya chemistry unaweza fanya ila kama hiyo kemia haipo itakula kwako! Click to expand... kama 0-level una D
Zamaulid said: EGM inakuwa wasiwasi kidogo,kama unabackground ya chemistry unaweza fanya ila kama hiyo kemia haipo itakula kwako! Click to expand... kama 0-level una D