Mungu hushusha rehma zake hapo haumwi mtu hata ukucha
Mungu alivyo wa ajabu, unaweza kuta hakuna hata maji kidogo tu yanayoingia hapo.hapo ni kama mtu amefumba mdomo. ingekuwa hivyo basi wadada wakiwa swiming pool wakitoka wangekuwa wanachuchumaa na kujaza kikombe. unless they come here to speak the contrary manake mi ni "he".
Mungu hushusha rehma zake hapo haumwi mtu hata ukucha
Mungu hakupi upele akakunyima kucha. Acha "Balance of Nature" ifanye kazi yake maana hizo nchi ulizozitaja zisingepata majanga ya asili kama hayo zingetuacha mbali mno kuliko ilivyo sasa....Hivi huwa najiuliza ile sunami sijui katrina zinazotokeaga nchi kama china, marekani na mataifa mengine kingetokea hapa kwetu sijui kama hili jiji la dar na zanzibar pangesalia hata panya huwa nasali nikiomba Mwenyezi Mungu aepushie mbali.
Kila jambo mara nyingi linakuwa na sababu, sisi waafrika tumeumbwa wagumu sana kwa kupatwa na maradhi kirahisi rahisi kutokana na mazingira.
Hebu jiulize swali dogo hapa, Mwendawazimu anao uwezo wa kula vyakula vilivyoharibika, hata vile vya majalalani lakini hadhuriki. Sasa jaribu wewe mzima uone balaa lake
ah wapi, hapo kuna mabakuli mengine maji yanapitiliza hadi ndani kwenye vishimo hasa hao wamama. ivyo vitoto navyo kwasababu ni vya uswhailini inaweza kuwa direct hadi kwenye kizazi.hapana chezea mbunye za uswahilini.AZUSA STREET ina maana huwa zinanyonya maji...!? yaani zina uwezo wa kufyonza...! lol najaribu kuvuta picha