na ukishalipa mkopo unatemwa fasta kwa kuimbiwa "parapanda italia parapanda..."
Heee! kwani bado inaendelea hiyo mkuu?
Nashukuru watani zangu ishu ya escrow walipigwa chenga ya mwili hawasomeki popote la sivyo mashambulizi yangekuwa kwa kiwango cha kushangaza
kitu gani waniuliza?
Kuna mmoja kanikamata huyo!yan kila nikitaka kuchoropoka nashindwa !