Hapa ungemfanyaje huyu jamaa kama ndiyo wewe?

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
14485142_167217867065492_8698557755419530653_n.jpg
 
Hahahahahaha nimecheka sana imenikumbusha ile story jamaa alizinguliwa kwenye group basi akawa mpole tu baadae akaomba kuwa Admin, alichokifanya ni kuwa-remove wote kwenye group! End of story
Kwenye group letu la secondary tuliwahi kumuadd teacher wetu wa hesabu halafu tukampa uadmin, basi ilikuwa ukiandika au kucomment ujinga anakuondoa
 
Naona teacher kapiga na honi [emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
Hahahahahaha nimecheka sana imenikumbusha ile story jamaa alizinguliwa kwenye group basi akawa mpole tu baadae akaomba kuwa Admin, alichokifanya ni kuwa-remove wote kwenye group! End of story
Haha kama movie!
 
Kuna watu wako Duniani kwa ajiri ya kuwakwaza wenzao kama hii ni kesi kabisa
 
Puja!!! [emoji3][emoji3][emoji3] pujaaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom