Kajole sijajua una abudu katika mrengo upi, lakini kwa kifupi sana kama ni Mkristo nacctiza kama unaamini katika Kristo ni issue ndogo mno nenda kwa wachingaji walioshika imani kwa kuwa wapo wachungaji wanaofanyia matumbo yao, mrudie Mungu ww mwenyew kwa bidii sana watakuja kukuomba msamaha. Hakuna uganga wala uchawi katika nyumba ya Israel asema bwana wa majeshi. Kwa wewe ambaye upande huu haukuhusu tulia au mjibu wa uelewa wako.
kaka sijamdhulum chochote yaan mi nlikuwa msaada mkubwa kwake wakati nasoma boom langu ndilo lilikuwa linaendesha maisha yake na yaangu mpaka pale mahakama ilipoidhinisha usimamizi wa mirathi uwe kwake ndipo alipoanza hizo fujo na huwa anasema mimi si mtoto wa yule baba hivyo sina haki ya chochote,hilo la mali mimi sikujihusisha nalo maana nilikuwa natafuta zangu na nilifanikiwa ila mzozo ulipanda kwa kuambiwa si wa baba yake....pia shemeji ndo anachochea ili apate kuzitumia pesa hizoKwa nini umdhulumu dada yako? Do as you would be done by.
kaka sijamdhulum chochote yaan mi nlikuwa msaada mkubwa kwake wakati nasoma boom langu ndilo lilikuwa linaendesha maisha yake na yaangu mpaka pale mahakama ilipoidhinisha usimamizi wa mirathi uwe kwake ndipo alipoanza hizo fujo na huwa anasema mimi si mtoto wa yule baba hivyo sina haki ya chochote,hilo la mali mimi sikujihusisha nalo maana nilikuwa natafuta zangu na nilifanikiwa ila mzozo ulipanda kwa kuambiwa si wa baba yake....pia shemeji ndo anachochea ili apate kuzitumia pesa hizo
Kumbe ugomvi ni kwamba inahitajika DNA test.kaka sijamdhulum chochote yaan mi nlikuwa msaada mkubwa kwake wakati nasoma boom langu ndilo lilikuwa linaendesha maisha yake na yaangu mpaka pale mahakama ilipoidhinisha usimamizi wa mirathi uwe kwake ndipo alipoanza hizo fujo na huwa anasema mimi si mtoto wa yule baba hivyo sina haki ya chochote,hilo la mali mimi sikujihusisha nalo maana nilikuwa natafuta zangu na nilifanikiwa ila mzozo ulipanda kwa kuambiwa si wa baba yake....pia shemeji ndo anachochea ili apate kuzitumia pesa hizo
habari ya kazi wakuu!,
mimi ni mvulana wa miaka 31 na nimehitim degree ya uhasibu mwaka 2011. Mwaka huo huo nlipata kazi kwenye kampuni binafsi na maisha yakawa yanaenda vema tu mpaka mwaka 2014 mwezi wa 3 ndipo maisha yakabadilika nakuwa hayaeleweke....
ni kwamba mwaka 2012 nliingia katika ugomvi na dada angu wa baba na mama mmoja tukuzozana juu ya mali za urithi wa wazazi wetu. Dada alinipigia simu na kuahidi kuwa atanikomesha na shemeji yan mume wa dada akasisitiza lazima niwajue (ieleweke shemeji ni nmganga wa kienyeji) basi siku chache nikafukuzwa kazi bila sababu za msingi,nkapata kazi tena lkn nikafukuzwa pia na matatizo yakawa yanaendelea yan watu wananichukia bila sababu mara ugomvi na mke wangu hauishi tena usio na kichwa wala miguu,ndoto za ajabu ajabu hasa kuota napigana na watu nisiowajua au nawajua,kila nachofanya hakifanikiwi hata kama ntakuwa makini sana,hvi sasa sina muelekeo wa maisha na kila kitu hovyo kabisa.....
Je naweza nisaidiwa vp kujiondoa ktk janga hili?,kuna uwezekano kwel mtu akavuruga mipango yako kimazingara?
nadhan hujanielewa,mimi nliachana na hiyo miradhi zamani sana na hata nyumbani huwa sifiki na hata kuwasiliana nae tu huwa siwasiliani nae mpaka labda kwenye matukio ya kijamii kama misiba au harusi,yeye anajistukia tu na ndo maana alinikanaAchana na hizo mirathi muachie Dada yako .. Tena mwambie nakuachia kila kitu tafuta vyako mkuu .. Sababu kama hata anaamini we siyo mdogo wako basi we tafuta vyako utaishia kuwa maskini ukiendelea kutegemea vya urirhi
Basi pole we muombe Mungu tu sasanadhan hujanielewa,mimi nliachana na hiyo miradhi zamani sana na hata nyumbani huwa sifiki na hata kuwasiliana nae tu huwa siwasiliani nae mpaka labda kwenye matukio ya kijamii kama misiba au harusi,yeye anajistukia tu na ndo maana alinikana
Freemasons wanaamini kwamba God helps those who help themselves. God will not 😱 it for you. God will do it with you.A man that leaves everything in God's hand will in turn see God's hand in everything.
Kwa nini umdhulumu dada yako? Do as you would be done by.
Umesema kweli ila kwa mganga sio kimbilio kabisa cha msingi amukubali huyu yesu kristo amepenafasi ktk maisha hakika namwambia shetan hatakua na nafasi tena kama biblia inavyo sema kuwa nguvu ya MUNGU havita changamana kamwe na nguvu za ibiris nikama mashariki na maghalibi kwa mbali.Pole sana hayo mambo yapo na kuna njia mbili za kutatua.
Njia bora zaidi ni kupata msaada wa maombi na kujiweka safi mbele ya Mungu. Lakini mafanikio kwa njia hii ni lazima maisha yako umpendeze Mungu vinginevyo shida zitarudi muda mfupi baada ya maombi.
Njia ya pili kwa wenye dhambi wenzetu ni kutafuta mganga akusaidie. Pia hapa wako matapeli hivyo jitahidi kupata mtu asiye magumashi.
Sikia omba kukutan na sister wako au mtafute kwa njia ya amani.kaka sijamdhulum chochote yaan mi nlikuwa msaada mkubwa kwake wakati nasoma boom langu ndilo lilikuwa linaendesha maisha yake na yaangu mpaka pale mahakama ilipoidhinisha usimamizi wa mirathi uwe kwake ndipo alipoanza hizo fujo na huwa anasema mimi si mtoto wa yule baba hivyo sina haki ya chochote,hilo la mali mimi sikujihusisha nalo maana nilikuwa natafuta zangu na nilifanikiwa ila mzozo ulipanda kwa kuambiwa si wa baba yake....pia shemeji ndo anachochea ili apate kuzitumia pesa hizo