Guus JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,167 Reaction score 907 Dec 25, 2014 #1 Hili jengo si ajabu likawa limeingia katika vitabu vya historia vinavyotumika mashuleni, loh! Attachments DSC05098.JPG 1,008.5 KB · Views: 337
SONGOKA JF-Expert Member Joined Mar 8, 2012 Posts 1,836 Reaction score 1,846 Dec 25, 2014 #2 ndipo mkapa na mukono walipofanikiwa kupenyeza ile sumu katika ward ya kiongozi flani ivi wa africa
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Dec 25, 2014 #3 Mwalim........
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Dec 25, 2014 #4 R.I.P Mwl JK Nyerere, huku tuna rais mwizi, asiyejali, mwenye kujilimbikizia mali yeye na watoto wake.....!!
R.I.P Mwl JK Nyerere, huku tuna rais mwizi, asiyejali, mwenye kujilimbikizia mali yeye na watoto wake.....!!
T tonga2014 Member Joined Dec 25, 2014 Posts 92 Reaction score 16 Dec 25, 2014 #5 Una uhakika na unachokisema? Acha kupandikiza chuki moyoni mwa watu