Acount yangu ya facebook inaniambia chat disconnected
na nakuwa kama niko offline
siwezi ona mtu akini inbox hadi ni log off niingie tena
any help?
hapo kwenye options za chat (kwenye kialama kama kirudumu chenye meno meno) umefanya uwe offline, rudi palepale na urudishe online
alternative tumia simu ya mkononi, kisha nenda kwenye chat kisha utabadili iwe unaonekana online, hiyo setting itaaffect hata kwenye pc
hapo napajua napako okay
sikuwahi kupagusa
na nikitazama pako ok
asante unaweza nielekeza kwa pc?
situmii simu