Hapa tatizo litakua ni nini wataalamu?

Hii imenitokea hata mimi juzi ila nilichofanya niliclear data ya hiyo app ingawa ikajirudia tena na tena lakini sasahivi mambo fresh imetulia
 
Hiyo software Google ameifunga rasmi. Anataka wote tukatumie YouTube. Maana alikuwa na apps mbili zinafanya kitu kimoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom