hapa sio kujidhalilisha?

hapa sio kujidhalilisha?

huyo wa nyuma mwenye chupi ya njano anashine kubwa lol! limetuna kama mpira dah!

Kweli binadamu hatufanani, kila mtu na sura yake, Looooh!!
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    5.8 KB · Views: 101
Kumbe kupima uzito mpaka uwe umevaa boxer tu?
 
si mabondia hawa?? wanapima uzito ili wapigane. sion kudhalilishana manake ndio mchezo ulivyo.
Ahaaah!
Kumbe tunaopima UZITO mitaani tunakosea kwa kuwa na nguo za nje; inabidi kupima na nguo za ndani ka hivi...
Sipati picha itakuwaje?!
 
huyo wa nyuma mwenye chupi ya njano anashine kubwa lol! limetuna kama mpira dah!

Kwi kwiiiiii gfsonwin huyo hana lolote katamani vinyeo vya wenzie hadi kikojoleo kimesimama lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Inabidi shirikisho la ngumi nchini waangalie upya kanuni zao hususan katika upimaji uzito wa mabondia kabla ya mapambano!
 
Du shine lyaga shine

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wee hujui kuwa na via vyenye afya ni ujiko hapa mjini?
Hujajua tu ni jinsi gani muda huu warembo wako busy na kuzipata namba za hao masela nondo
 
Hizo boksa zao lo! rangi hazieleweki, cjui chafu, hata kama unanjaa ucjizallshe kihvyo!
 
Wanavaa Hivo ili Kupima Actual Weight inayotakiwa ukitaka kupima uzito ulio Sahihi amka asubuh kabla Hujala Vaa kichupi Tu Pima uzito
 
Back
Top Bottom