Lastname
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 921
- 296
Watawala waelewe kuwa hapa issue sio Chadema ila ni kuwa watu wamechoshwa na CCM na ufisadi wao. Ni sawa na ushindi wa Lusinde kule mtera hata kama wangesema Malecela apigiwe kura na kivuli basi kivuli kingeshinda. Sasa anzeni kujitoa CCM taratibu kabla hamjakufa nayo maana itawa cost even life.