Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,698
Sema kitu mkuuDaah !!
Shukurani mkuu ina make senseHaliwezi kua tukio.
Asingechat na wewe huku nipo.
Kama angeweza kuchat na wewe huku nipo angekua hana haja ya kuizima simu.
Yaani saa 5 usiku aende kuwekwa. Ameachiwa saa ngapi mpaka saa 9 aweze kuwasha simu?
wewe ni msichana, au ni mvulana? Unafungua kwenda shule tarehe ngapi?
Nimekupata dadaUkishakuwa mwanaJF kuna namna unakuwa overthinker hata kwa mambo madogo
Kwanini usijifariji kwamba ulivyomuaga unaenda washroom akazima data kisha akapitiwa na usingizi?badae saa tisa alivyostuka akawasha data
Halafu uzuri wa uovu hata mtu afiche vipi ipo siku atapatikana...huyo wako kama kuna lolote ipo siku utaliona bila hata kutumia nguvu
Kwa sasa enjoy unachopata kwenye hayo mahusiano
InawezekanaPole sana mkuu
Labda ni mambo ya mtandao kusumbua
Hivi kweli mtu mzima kutusumbua kwa maswala ya hivi........utatoboa kweli kwenye zama hizi?????Habarini za asubuhi,
Jna usiku nilikuwa nachat whsp na mwenzangu, wakat tunaendelea nikamuga kdgo niende washroom onetime mida km tano kasoro narudi tuendelee na mazungumzo ndio hakuptikana tena. Maswali niliyojiuliza km inshu ni chj kwann asingebust cm akanijulisha, hapohapo ju swal hili nikawa na swal jingine km ni chaj huwa unajua kuwa hpa sitoboi kwanini hakunijulisha pia mapema kuwa labda hatuna umeme na chj inaweza kuniishia muda wowote, ili angalau niwe na la kujifariji.
Wasiwasi umezidi zaidi baada ya kukuta msg zngu zimepokelewa saa 9 usiku, najiuliza tu kulikuww na haja gani ya kuwasha cm mida hiyo?
Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yngu
Maswali yanayohitajika humu ni yapiHivi kweli mtu mzima kutusumbua kwa maswala ya hivi........utatoboa kweli kwenye zama hizi?????
Shughuli gani hiyo?Wekeni michango yenu maana michango yenu ndio itanisaidia kufanikisha shughuhuli yngu