Hapa sijaelewa kabisaaaaaaaa!

Hapa sijaelewa kabisaaaaaaaa!

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,361
Reaction score
2,049
Kwani waziri husika hayupo?
Katiba...sheria...maabara?????
FB_IMG_1588521249758.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe hapo kwa mfano hujaelewa nini. Hapo mwigulu ndo alikuwa mbele yake lazima yeye ndo ampe majukumu.
 
Kwani waziri husika hayupo?
Katiba...sheria...maabara?????View attachment 1438919

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, umeisikiliza hotuba ya Rais wakati akimuapisha Waziri!??

Amempa maagizo ya kuwa, kwa kuwa yeye ni waziri wa sheria, hivyo basi kutokana na ishu ya mapapai na mafenesi kukutwa ja corona, yeye amepewa jukumu la kwenda kuchunguza kama kuna ufunjifu wa sheria au kuna kiashiria cha "criminal" basi sheria ichukue mkondo wake.

Kuna baadhi ya waandishi wa habari wamegeuka kama wale wahubiri uchwara, ambao wakishika ka mstari kamoja kwenye bible, basi wanasimama hapo hapo, bila hata ya kusoma habari kamili ili wapate picha halisi na maana halisi ya mstari husika.

Mkuu, hao viumbe wanaelewa kabisa kilichomaanishwa, tatizo wamejipa jukumu la kupinga hata lililowazi ndo maana wanakuja na maandiko ya aina hii. Waache wajijaze upepo, kuna mwingine anadai kaanza kuvuja damu ilhal ni mwanaume sijui kule Kisongo walifanya yao!
 
nimekuagiza muende nadhani alikuwa akimaanisha yeye na waziri wa afya au jopo zima la mawaziri, vijimawazo vyangu tu
Upo sahihi kabisa mkuu,

Kwa hivi sasa naona kuna tatizo kubwa la uelewa kwa baadhi ya watu ndio maana wanashindwa kupata message kamili. Sasa sijui tatizo ni mihemko ama ni tafrani ya hii COVID - 19
 
Mkuu, umeisikiliza hotuba ya Rais wakati akimuapisha Waziri!??

Amempa maagizo ya kuwa, kwa kuwa yeye ni waziri wa sheria, hivyo basi kutokana na ishu ya mapapai na mafenesi kukutwa ja corona, yeye amepewa jukumu la kwenda kuchunguza kama kuna ufunjifu wa sheria au kuna kiashiria cha "criminal" basi sheria ichukue mkondo wake.

Kuna baadhi ya waandishi wa habari wamegeuka kama wale wahubiri uchwara, ambao wakishika ka mstari kamoja kwenye bible, basi wanasimama hapo hapo, bila hata ya kusoma habari kamili ili wapate picha halisi na maana halisi ya mstari husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliopeleka sampuli hawakuvunja sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom