Hapa nitakosa kweli?

Hupati kabisa hio barua ya kazi ipo so unprofessional lol
Nilisha andika barua professional kibao... ila wapi... Hakuna kitu.. sikupata kazi... sasa labda hii wanaweza nifikiria... teh teh teh
 
Unataka kazi ama shughuli?!!.
 
Kama ndo mnaandika barua hivyo
msilalamike hata mkikaa vijiweni.
 
Yaani wakikunyima hapo! Lzm una nuksi!
Kaogee maji ya maharage kuliondoa hilo nuksi!
Teh teh teh teh!
 
Nilisha andika barua professional kibao... ila wapi... Hakuna kitu.. sikupata kazi... sasa labda hii wanaweza nifikiria... teh teh teh
Hio Moja kwa Moja kwenye debe la taka hata hautazamwi mara mbili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…