Hapa nina full stress

Wanaojitunza wanakuwa na nyege mpapato kama wanaumwa vile....

Inakuwa rahisi sana kuuza mechi, kwanza wana vituko wakiona kitu kidogo tu kama picha ya mdada nusu uchi wanachanganyikiwa
 
Ukimwi sipimi hata kwa bunduki wacha nitaona matokeo yake huko mbele
Sasa hapo si unaishi kwa stress tu bora upime kama utaanza kumeza karanga uanze haraka usije ukaambukiza wengine
Nyie watu mliopo kwenye window period ndio hatari sana kueneza Hiv, nenda kapime upunguze maambukizi Bongo
 
Hizo ni porojo tu kikubwa kapime kwanza ngoma, Ukishapata majibu urudi hapa sasa tukupe ushauri
 
Unasema uko makini na afya yako na umeuza mechi kizembe.
 
Kukosea ni kawaida kwa mwanadamu,acha kujilaumu na ukachek afya
Ila waimba kwaya mhh!
 
Ukiona umempata gono, ujue umenusurika kupata hiv, unapewa tafadhari ukumbuke kuvaa. By the way Hauna Ngoma kjna huwez pata Kama demu ana UTI sugu maana lazima ana uke mkubwa
 
Asikwambie mtu gono linauma balaa, na likiwa sugu kupona ni mtihani, Kuna dawa inaitwa salboctum hii ndio kiboko ya gono sugu, HIV NA GONO YOTE NI MAGONJWA YA ZINAA KAPIME UKIMWI MZEEE , WANAWAKE WANAWEZA KUISHI NA GONO HATA MIKA 5 BILA DALILI ZOZOTE ILA LINAWATAFUNA NDANI KWA NDANI AKIJA KUONESHA DALILI TAYARI ANAKUWA KAATHIRIKA VIBAYA KWA MWANAUME GONO LINAONESHA DALILI SIO CHINI YA SAA 24
 
Usiache kuvaa gwanda kila unapoingia uwanja wa vita...

Gono na HIV zote ni STDs lakini si lazima kwamba mwenye gono basi ana ngoma...

Ngoma pima walau baada ya wiki mbili tangu ulipoloweka huo mkuyenge kwa mrembo...
 

Hongera mwanachama mpya, bonyeza link ujisajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…