Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Mtoto ukishakuwa rafiki yake hata huo muda wa kumkumbuka baba hana!Wanadumaa? Akikua pia baba atakua hajarudi au ndo inakuja kauli "alikufaga" maana ukisema alikukataa watoto wakishakua watakulazimisha ukawaonyeshe hata wamuone tu
La mno ni kuhakikisha ana furaha muda wote, na hakosi mahitaji muhimu! Na kumlea kwenye malezi yanayostahili!!