Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

Wanadumaa? Akikua pia baba atakua hajarudi au ndo inakuja kauli "alikufaga" maana ukisema alikukataa watoto wakishakua watakulazimisha ukawaonyeshe hata wamuone tu
Mtoto ukishakuwa rafiki yake hata huo muda wa kumkumbuka baba hana!

La mno ni kuhakikisha ana furaha muda wote, na hakosi mahitaji muhimu! Na kumlea kwenye malezi yanayostahili!!
 
Haya bhana, unaishi na wazazi wako wote wawili??
 
Mkuu huyo mtoto siyo wako,na uliambiwa ki-utu uzima kuwa mtoto siyo wenu ni wake. Lkn amini huyo mtoto ana baba yake. Lkn pia km unataka kujua anapoishi nenda mpaka Mt. Meru hospital kwa vile unajua siku alizolazwa hapo utapata details zote za sehemu anapoishi hadi kitongoji.
 
Its a good start, ngoja ntaenda ila isijekuwa hakujifungulia hapo, ila wazo zuri sana, asante.mkuu
 
Kwani unataka kujua km alijifungulia hapo au unatafuta namna ya kumpata!?? Pale hata km hakujifungulia hapo,kwa vile aliwahi kutibiwa hapo basi na details za mahali anapoishi zipo. Ukimpata yeye mambo mengine yatafuata!!
 
Sawa mkuu ntajitahidi
Kwani unataka kujua km alijifungulia hapo au unatafuta namna ya kumpata!?? Pale hata km hakujifungulia hapo,kwa vile aliwahi kutibiwa hapo basi na details za mahali anapoishi zipo. Ukimpata yeye mambo mengine yatafuata!!
 
Mkuu huyo mtoto siyo wako,na uliambiwa ki-utu uzima kuwa mtoto siyo wenu ni wake. Lkn amini huyo mtoto ana baba yake. Lkn pia km unataka kujua anapoishi nenda mpaka Mt. Meru hospital kwa vile unajua siku alizolazwa hapo utapata details zote za sehemu anapoishi hadi kitongoji.
Mtoto huyo alizaliwa 2016 mwezi 4 tarehe 2
 
Eehe ndo umsome sasa ukute hata huko hospital ilikuwa ni fix tu...!! Wanawake achana nae mkuu.. So long ulipita nae kujifurahisha tu elewa kuwa hakuna mwanamke asiependa pesa ila Kuomba sasa wengi hawawezi siku hizi unaletewa matatizo tu.. Na hivi mpo mbali hakuna njia nyingine ya kukuchuna hela zaidi ya Mtoto maana ingekuwa mimba ungemwambia akutumie picha lakini mtoto ndo kama hivyo kapiga picha hata haieleweki like anakuzungusha hivi ila ukweli ni kuwa.

HANA MTOTO WAKO WALA MIMBA.
Akianza kumhudumia ataanza kumdai!
Na lengo langu awe wangu mwenyewe
Ni sawa,ila kwanini sasa kamwambia kama lengo alitaka awe wake mwenyewe?
 
Huyu rafiki yako yupo sawa......ila huyu mdada wa jamaa siyo kabisa angenyamaza mazima akapotea tu kimyakimya! Siyo kumwambia mtu halafu hata picha za mtoto huwezi kumpa baba mtoto,akitaka kuja unapiga chenga....! Si angenyamaza tu.
Kuna best yangu nae alibeba mimba ya mtu akampotezea
Nimemshauri amshirikishe huyo mtu
Anasema hatak stress za wanaume watoto wake ni faraja tosha(alipata mapacha)
[/QUOTE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom