Hapa nikiambiwa nisililie mapenzi nakubali..

mbona naona kizungu zungu hapa!
nini kinaendelea?

hakuna mbaya sweetie huyu nimemuuliza huyu tumboo maana halisi ya jina lake lakini kaenda kumuita mume wake waje kunishambulia.. si unaona hilo jina lilivyo na utata?
 
Last edited by a moderator:

Unamatatzo weye sio buree
 
Last edited by a moderator:
How old are u na ukishajibu useme umeoa au bado nimesoma michango yako mingi kuhusu wanawake upo selfish sana kwenye jambo lolote yani utashani ulizaliwa na mwanaume mwenzio embu fikiria kila mara inapochangia kuhusu mwanamke si wanawake wote wanafanana hata kama ulitendwa jaribu kisamehe alafu usahau unaonyesha unakisasi na jinsia hii sijui kama hujaoa utapata tabu kuchagua umtakae mpaka ugonge 40 ni ushauri tu jatibu kuangalia una dada zako mama zako anti zako wote ni wanawake.
Hata ikiuma haisaidii, Women are life projects that God gave to men. So, nothing wonderful.
 
hakuna mbaya sweetie huyu nimemuuliza huyu tumboo maana halisi ya jina lake lakini kaenda kumuita mume wake waje kunishambulia.. si unaona hilo jina lilivyo na utata?

loh mnaanzaga hivyo hivyo, inatosha kabisa kujua maana ya jina la mkeo hayo majina mengine waachie wenyewe
 
How old are u na ukishajibu useme umeoa au bado nimesoma michango yako mingi kuhusu wanawake upo selfish sana kwenye jambo lolote yani utashani ulizaliwa na mwanaume mwenzio embu fikiria kila mara inapochangia kuhusu mwanamke si wanawake wote wanafanana hata kama ulitendwa jaribu kisamehe alafu usahau unaonyesha unakisasi na jinsia hii sijui kama hujaoa utapata tabu kuchagua umtakae mpaka ugonge 40 ni ushauri tu jatibu kuangalia una dada zako mama zako anti zako wote ni wanawake.

Kilele cha mcheza ngoma ni uwezo wa kuficha stadi za uchezaji. Nimechagua tawi hili Leomimi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom