Hapa ni wapi?

Hapa ni wapi?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,773
Reaction score
2,383
Pictures from old camera 147.jpg Kwa wale wasafiri wa hukooo mahala , je hapa ni wapi?
 
hapa ni mto kikavu . ni njia ya kwenda moshi kama unatokea Arusha.
 
usiilaze hii thread hadi kesho, kama hakuna jibu bora tukupe mji!.
hapo ni barabarani
 
Hapo ni UPOROTO, BAADA tu ya njia panda(kama ukitokea Tukuyu)
Wakuu tuendelee kuwekeana changamoto.

Kumbe bado kumbukumbu yangu ni nzuri. Ni mojawapo ya eneo lenye mandhari nzuri sana hapa tz
 
Hapo ni Makambako karibia na Njombe.
Alafu ni mida ya saa2 kasorobo asubuhi.
 
Back
Top Bottom