Hapa ni wapi?

Hapa ni wapi?

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,368
1477117415106.jpg
 
Napingana nawe hapa no jukwaa la picha na mtu anaweza kupost chochote kwa kuzingatia sheria za jukwaa
Inawezekana kabisa hana cha kufanya lakini amekushughulisha
Utimamu wa akili unajionyesha hata kwa kile unacho post hata kama huvunji sheria
 
Maswali mengine ya ajabu kweli. Hii picha umeitoa wapi mpaka utuulize "hapa ni wapi". Inaelekea watu wengine hawana kazi za kufanya
Hapana mkuu mbona hii kitu ipo toka zamani sio ku kosa kazi ni kama brainteasers nyingine tu au mafumbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom