Hapa ni wapi? Story kufuata

ina maana Bigirita umesusa!!!!!
Kama hujasusa sema sasa wapi hapo
 
Last edited by a moderator:
kaka hapo panaitwa KICHEBA ni maeneo ya muheza tanga hapo panawaganga wa kienyeji kama 35 wa matatizo tofautitofaut.kwa kifupi hapo ni kicheba kati na mtu maarufu hilo eneo ni Abeli jamaa mmoja alikua boxer.ehee lete story mkuu
 
Du kumbe hap mi Muhimbili ya washirikima!
Sasa bendera hapo ya nini?
 
kaka hapo panaitwa KICHEBA ni maeneo ya muheza tanga hapo panawaganga wa kienyeji kama 35 wa matatizo tofautitofaut.kwa kifupi hapo ni kicheba kati na mtu maarufu hilo eneo ni Abeli jamaa mmoja alikua boxer.ehee lete story mkuu

unatisha mkuu!!! SALUTE
Nalienda pamoja na waombolezaji, tukitokea dar, kumzika baba mzazi wa rafiki yangu hayati Mzee KIBAYA, R.I.P
semeni eenhee!!!
 
Hapa ni Kicheba mnarani wilayani Muheza

ingawa upo sahihi lakini inaonekana umeibia majibu,

Back
Top Bottom