Hapa ni wapi? Atakayepatia vocha inamuhusu

Hapa ni wapi? Atakayepatia vocha inamuhusu

Chemka Hot Spring.JPG
 
huyo huyo mzungu unaemsema wewe mimi naenda kwao natembea sehemu ambazo hata yeye hajawahi kufika.weka mzungu pembeni....kuna gharama zaidi ya hio tzs 1000 unayoisema. thats my point. huwezi kulaumu watu hawaendi huko kisa tzs 1000,kuna gharama zaidi ya hizo,mimi nishaenda huko najua gharama zake kwa mtanzania wa kawaida sio hela kidogo ni nyingi.

btw niliposema logistics sikuwa na maana hali ya barabara,nilimaanisha mpangilio mzima wa kufika huko,malazi na gharama za chakula....hivi zile lodge mikumi wanachaji how much per night?
Umeandika wewe kweli?
 
Kapologwe, Tukuyu hiyo... Naomba vocha yangu fasta kabla sijakutumia panya road waje wachukue kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom