tanganyikakwanza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 493
- 187
ni zaidi bigurube.Vocha ya Tsh ngapi? Km ni 10000+ nakupa jibu
asante kiongozi kwa kuikuza,naona hata picha yangu nimejiona vizuri.
theki ni pm,kweli wewe umetembea sehem hizo.Hapo panaitwa CHEMKA Boma ng'ombe- mitaa ya Rundugai.
Tuma vocha fasta kabla sijaongea na Admn akudelete fasta.:A S wink::A S-eek:
Utalii wa ndani muhimu sana.Sio watz kuingia mbuga za wanyama book(1000) tuu ila idadi ya maudhurio wazungu wametuzidi.theki ni pm,kweli wewe umetembea sehem hizo.
Utalii wa ndani muhimu sana.Sio watz kuingia mbuga za wanyama book(1000) tuu ila idadi ya maudhurio wazungu wametuzidi.
Wewe mzungu anatoka Russian mpkn na Ukreini anakuja kuona Makumbusho ya Taifa dar es salaam opposite na IFM wewe unaishi Kigamboni unafanya kazi BOT au Ofisi ya bunge hujawahi leta familia yako hata siku moja kutembelea waone.tatizo sio 1000 ya kiingilio.....tatizo unafikaje hadi hapo unapolipa hio 1000 na logistics nyingine kwa mfano unatoka Dar na vivutio vingi vipo mikoa ya kaskazini.
Wewe mzungu anatoka Russian mpkn na Ukreini anakuja kuona Makumbusho ya Taifa dar es salaam opposite na IFM wewe unaishi Kigamboni unafanya kazi BOT au Ofisi ya bunge hujawahi leta familia yako hata siku moja kutembelea waone.
Unaniambia logistic tatizo acha siasa mdau kwenda mikumi national park miundo mbinu mizuri kbs wakati wa saba saba kuna offer bado hatuendi.......?
Sema mtazamo wako ndio watanzania wengi tupo hivyo hivyo sio kama nimejitoa hapana ndivyo tulivyo porojo kibao.