Hapa ni Uingereza sio Manzese | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa ni Uingereza sio Manzese

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Nov 13, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 508"]
  <tbody>[TR]
  [TD]Hapa ni Uingereza sio Manzese[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Hapa ni Uingereza na wala sio kule kwetu kwenye daraja la kwanza la kuvuka barabara Tanzania[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hata ulaya nako wachafu pia mkuu!
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  bongo lala kichwa maji
   
 4. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ukiondoa hayo makaratasi mbona pazuri tu? in fact better than Samora street.
   
 5. driller

  driller JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wewe huoni huyo mama ana viatu vyake hapo...? hiyo tu inaonyesha kwamba hiyo sio bongo...! ingekua bongo usingeona hivyo viatu.... ni dili kinyama huku kwetu.... yani ungevikuta posta vinauzwa tena kwa bei kama vile jamaa amenunua yeye mombasa....!
   
 6. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli aisee.
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Tena viatu vizuri tu na bado anavyo miguuni, na hata hiyo skin tight ingekuwa ni dili.
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Uchafu hauna kwao kila mahali pako na uchafu wake lakini uchafu wa ulaya huwezi kufananisha na uchafu wabongo hahahahahah

  Ina maana Samora Evenew sio kuzuri kabisa? Hhahahah

  Yaani ingelikuwa bongo wangelimvua huyu mwanamke nguo zake zote hizo? Duhhhhhhhhhhh bongo kunatisha kweli hahahahahahhhhh

  ina Maana Viatu na hiyo Skin tight bongo big deal? kweli bongo kuna njaa huku nguo zinatumwa majalalani tu hata TV au Laptop na Mafriji ya kizamani waweza

  kuokota majalalani Viti vya Makochi pia kila kitu waweza kuokota majalalani huku vitu vya kizamani havina thamani hata kidogo ndio huko nyumbani mnaviita Mitumba hata gari ya kizamani waweza kuikuta imetupwa kwenye sehemu za kutupia vitu vya kizamani bongo kwetu kweli kuna njaa sana Tanzania Umeme na maji Safi huko kwetu ni Big Deal hahaha njaa tupu nyumbani.
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mitaa ya wakware ungekuta kesha vuliwa kila kitu hadi mbaya katendwa
   
 10. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  It's true
   
 11. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  uchafu ni hulka kwani ulikuwa hujui wazungu, wahindi ni wachafu kuliko wabongo? Tafadhali usiangalie weupe wa ngozi yao?
   
Loading...