Hapa ni nchi gani?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,683
kama hujui usiweke komenti yako na usiweke komenti za kidini please
 
nadhani itakuwa ni inchi za uarabuni,na nadhani inaweza kuwia ngumu ktk kutambua ni eneo gani kwani kipande cha picha ni kidogo munoo,bt elewa ni islamic country
 
UK ndiko utaona hii kitu not in N.America thats for sure. Bongo hapana
 
Nchi gani ili iweje?
kwaza; usitupotezee muda kuna mambo mengi mazito yanayotishia kuyumbisha mustakabali wa nchi yetu tunahitaji kuyajadili, Sasa kutuuliza kitu ambacho jibu lake unalo unamaanisha nini?

Pili; tukisha ijua hiyo nchi faida yake ni nini?

tatu; jamiiforum sio mahala pa kupotezea muda bali ni mahala pa kuelimishana, kupeana maarifa, hoja,utatuzi na ufumbuzi wa masuala mbalimbali yanayogusa jamii na taifa kwa ujumla
 
Hicho ni kijiji cha Nyamiyaga au Ntobeye!
 

Nice comment!...
 

🙂umejijibu mwenyewe
 

hivi kwani lazima?
 
🙂umejijibu mwenyewe

Mkuu I can bet my mortgage hapo ni UK probably ni mtaa mmoja kuna mahafali fulani hizo pavement, huyo mzungu aliyevaa baibui, hao wasomali, huyo halfcast..., mavazi ya mpakistan aliyejishika uso..., ni proof tosha...., it can only happen in UK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…