Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
so what?
Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui, utachagua vp wakati kipick up kama hicho kikipita leo saa 8 mpaka kesho saa 8. Tena kila kiumbe anayetaka kusafiri kwa wakati huo mnajichanganya. Ubitozi pembeni
Mfano ng'ombe akijisaidia humo....
Mfano tu
.
msoga, chalinze hiyo

wataisoma #
Halafu ukifika mjini unaleta ubitozi na usista duu!!! Unajifanya huwezi kupanda basi lilojaa kwa maana hutaki kusimama kwenye basi. Lkn huko kijijini kwenu huchagui,
Tena wa hivyo wapo wengi sana
Mfano ng'ombe akijisaidia humo....
Mfano tu
Kwani uliwahi kusikia SAMADI imeua mtu??