Hapa ndipo Utahakikisha Mungu yupo

Hapa ndipo Utahakikisha Mungu yupo

Mh Kiranga unakaribishwa kwa heshima na taadhima PoPoTe uLiPo
Huyo jamaa atakuja na nadharia zake zisizo na kichwa wala miguu.
Ni hopeless case.Nilidhani Kiranga ni mtu mwenye tafakari ya juu sana kuhusu mambo ya ulimwengu badae nikahitimisha kuwa ni mtu anayependa ubishi wa kilevi na usio na tija.

Maneno Mengi ya Kiranga ni pumba tu na ujinga.
 
Sio siri.Ulimwengu na viumbe vyake umetengenezwa kwa usanifu wa hali ya juu.
Ni vigumu sana kutokubaliana na wazo la uwepo wa Mungu.
 
Kwa taarifa yako wanasayansi wameshaanza kupambana na kifo,kampuni ya google iko mbioni kugundua namna ya kuzuia ageing(kuzeeka) na hatimae kuzuia kifo kupitia kuzeeka na baadae kuzuia vifo kupitia njia nyingine pia!!....Kwa taarifa yako hii sayansi kali tuliyonayo sasa hivi kama vile computer,aeroplane,waves,radio,madawa,magari,tv e.t.c imegundulika chini ya karne mbili tu zilizopita,sasa wewe unafikiri binadamu atakuwa wapi miaka 1000,10000,100000 ijayo???.....kwa taarifa yako miaka ijayo suala la kuzuia kifo litakuwa ni sayansi ndogo sana!.
Walikua wapi siku zote, mpaka wanze leo, ukimwi wameshindwa, wataweza kumfanya mtu aishi milele. Hata hivyo kuto zeeka hakuzui kifo, maana kuna watoto na vijana tumewazika wengi tu, bila kuufikia uzee.
 
Kwani Sodoku wewe huamini kama Mungu yupo?

Ni bora uamini kuwa yupo ili ikitokea ukafika mbinguni isiwe tabu, ila endapo utasema hayupo na ukipata nafasi ya kwenda peponi ukamuona utasemaje..?
 
Kwa taarifa yako wanasayansi wameshaanza kupambana na kifo,kampuni ya google iko mbioni kugundua namna ya kuzuia ageing(kuzeeka) na hatimae kuzuia kifo kupitia kuzeeka na baadae kuzuia vifo kupitia njia nyingine pia!!....Kwa taarifa yako hii sayansi kali tuliyonayo sasa hivi kama vile computer,aeroplane,waves,radio,madawa,magari,tv e.t.c imegundulika chini ya karne mbili tu zilizopita,sasa wewe unafikiri binadamu atakuwa wapi miaka 1000,10000,100000 ijayo???.....kwa taarifa yako miaka ijayo suala la kuzuia kifo litakuwa ni sayansi ndogo sana!.
.
Unaongelea maendeleo ya kisayansi yasiyoweza kuthibiti na kupunguza vifo? Angalia takwimu za miaka ya mtu kuishi sasa katka mataifa mbali mbali na ulinganishe na miaka ya nyuma. Ni vitu viwili vilivyoachana mbali. Sayansi imegalagazwa mbaya na kirusi cha ukimwi kiasi kwamba wanasisa wameingilia kati kwa lugha ya kupunguza maumivu ,yaani "KUISHI KWA MATUMAINI"
Na bado kizazi cha Adamu mtaomba poo.....!!
 
Kwa taarifa yako wanasayansi wameshaanza kupambana na kifo,kampuni ya google iko mbioni kugundua namna ya kuzuia ageing(kuzeeka) na hatimae kuzuia kifo kupitia kuzeeka na baadae kuzuia vifo kupitia njia nyingine pia!!....Kwa taarifa yako hii sayansi kali tuliyonayo sasa hivi kama vile computer,aeroplane,waves,radio,madawa,magari,tv e.t.c imegundulika chini ya karne mbili tu zilizopita,sasa wewe unafikiri binadamu atakuwa wapi miaka 1000,10000,100000 ijayo???.....kwa taarifa yako miaka ijayo suala la kuzuia kifo litakuwa ni sayansi ndogo sana!.
akuna atakaye zuia kifo kwasababu MUNGU yupo yani na 100% wote tulio hai sasa ni marehemu watarajiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom